53. WEWE UMECHOKA SANA

WEWE UMECHOKA SANA

1.  Wewe umechoka sana?
Wataka raha?
Kwake Yesu utapata furaha.
 
2.  Alama anazo Yeye?
Sasa! makovu 
Ya mikono, na miguu,
Na mbavu.
 
3.  Nacho kimevikwa taji
Kichwa cha huba?
Alivikwa taji kweli miiba.
 
4.  Huku nikimtafuta nipate nini?
Maonjo nje na ndani amani.
 
5.  Kwamba namwandama Bwana,
Mwisho ni nini?
Ni furaha na salama
Mbinguni.

Comments

Popular posts from this blog

42. KIVULINI MWA YESU

59. PELELEZA NDANI YANGU

37. WAITWA, MWOVU NA BWANA